Lil Wayne ametoa Video mpya ya wimbo kutoka kwenye Mixtape yake ya Sorry 4 the wait 2. Wimbo unaitwa "Coco freestyle" Wezzy bado ameendelea na mpango wake wa kujitoa kwenye Cash money records chini ya Birdman
Wezzy amefanya Video hiyoo akiwa ndani ya chumba chenye umbo la jela na machuma yakimzunguka kuonesha amefungiwa ndani ya record lebel ya Cash money.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment