Yule mtoto wa miaka mitatu Nice Valentino kutoka wilaya ya Kiteto mkoani Manyara, mwenye kipaji cha kipekee cha kufanya hesabu za sekondari na kuongea kiingereza, hatimae amepata msaada wa elimu kutoka kwa kituo cha (The watoto kwanza), hata hivyo baba yake mzazi anasema msaada huo kwake unampa wakati mgumu kwakuwa mtoto wake bado ni mdogo na hataweza kumuacha kwenye mikono ya watu wengine hapa Dar es salaam na yeye kurudi kijijini kuendelea na shughuli zake.
Nini ungependa kumwambia au kumshauri mzazi wa mtoto huyu?
Source EATV
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment