Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Mwanaume kajifanya mwanamke ili afanye kazi Bar, kilichofuatia ni story..

Mwanaume kajifanya mwanamke ili afanye kazi Bar, kilichofuatia ni story..

777770202
Ugumu wa maisha unaongeza ubunifu, ubunifu mwingine unakuweka pabaya.. huu wa huyu jamaa sidhani kama tunaweza kuuita ni ubunifu ila jamaa aliamua tu atumie njia hii ili apate tu njia ya kupata mkate wa siku.
Mmiliki wa Bar ya Siaya, Kenya alimshtukia jinsia ya mmoja ya wahudumu wake wa Bar kwamba jinsia yake sio ya kike.. Akatoa taarifa Polisi kuhusu mhudumu huyo, walipokuja kumpekua jamaa alijitetea kwamba ana jinsia mbili.
Jamaa huyo anaitwa Michael Obiero alikamatwa baada ya kufanya kazi kwa siku mbili kwenye Bar hiyo akijitambulisha kwa jina la Brenda na pia alikuwa akilala chumba kimoja na wahudumu wengine wa kike.
TZA KE JAMAA ALIYEJIFANYA MWANADADA KWENYE BAR AKAMATWA
Polisi walimlazimisha avue nguo zake ili wamkague, wakaona hakuwa na muonekano wa jinsia ya kike, wanaendelea na upelelezi ili kujua ukweli japo Mkuu wa Polisi Kaunti ya Bondo amesema hata mmiliki wa Bar hiyo huenda akawa na makosa ya kumuajiri jamaa huyo bila kumkagua.
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips