OSTAZ JUMA NA MUSOMA
Akizungumza katika kipindi cha the Cuise East Africa Radio, johari alisema haja wahi kuwa mahusiano ya kima penzi na Ostaz juma wala Ray. "Nnikweli haya mambo hutokea na kuzushwa lakini ukweli utabaki kuwa siku wahi kuwa na mahusiano ya kimapernzi na Ray, lakini mahusiano yetu niya kwenye kazi tu na pia sijawahi kuwa na mahusiano na Ostaz juma." Johari alisema.
Johari alifafanua kuwa mahusiano yake na Ray yanatokana
na wao kuwa wakurugenzi kwenyekampuni yao ya filamu ya RJ company.
Nikweli Ray ni mkurugenzi mwenzangu katika kampuni yetu ya RJ ila sina mahusiano naye kimapenzi na wala sija wahi kugombana na Chuchu wala msanii yeyote yule kwasababu ya mahusiano ya mapenzi.
Kwa upande wake, Ostaz juma alidai kuwa Johari amemkana hana la kufanya na atachukulia poa.
Harusi ni safari ndefu sana hadi kuja kufunga ndoa na mtu kuna vitu vingi sana inabidi ajipange, mzungumze , muafikiane, kuna vitu vinaweza kutekea vikaharibu harusi tena, ila yeye kama amesema hivyo poa najua yeye pia ni mwanadamu, sasa yeye kama nafsi yake imemtuma kusema hivyo basi lakini atatambua kuwa Ostaz Juma alikuwa anampenda. unajua mwanmke anaweza kutembea na wanaume hata mia mbili, lakini akakwambia nimetembea na mwanaume fulani" Alisema.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment