Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Mdau: Hawa Ndio Wanawake wa 5 Wanaoongoza kwa Uzuri Bongo Movie

Mdau: Hawa Ndio Wanawake wa 5 Wanaoongoza kwa Uzuri Bongo Movie

Katika game ya Bongo Movie wapo wanawake wengi sana waliojaaliwa uzuri wa sura na maumbo kupitia maoni ya watu kadhaa nimepata list fupi ya wadada watano ambao ni warembo na wenye mvuto zaidi nao ni :

1.WELU SENGO, 
2.YOBNESH YUSUPH(BATULI),
3.WEMA SEPETU,
4.ELIZABETH MICHAEL (LULU) 
,5.IRENE UWOYA.

Orodha hii ni kwa maoni ya watu niliozungumza nao na mimi mwenyewe toa maoni yako.

By Iron Finger on JF

Na wewe kama mdau una nafasi ya kutuandikia chochote kinachohusu Bongo Movies na sisi tutakileta hapa. Karibuni huu ni uwanja wenu wakufunguka kuhusu tasnia ya filamu hapa Bongo.Vigezo na masharti huzingatiwa. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips