Soudy Brown amemtafuta Diamond ambapo ishu ya mguu amesema alifanyiwa upasuaji huo wa mguu kutokana na kichuma alichokuwa nacho siku nyingi kwenye mguu, kwa sasa amepona.
Kuhusu afya ya mama yake amesema baada ya kurudi India kwenye matibabu amepona kabisa, ishu ya ujauzito wa mpenzi wake Zari, Diamond amesema anatarajia mtoto wake wa kwanza na anamsubiri mtoto wake huyo kwa hamu sana.
Ili kuisikiliza story yote bonyeza play hapa chini… WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment