Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Wanaume Masikini na Wasiojiamini Wanaongoza Kutongoza kwa Meseji Nyingi Halafu Ndefu

Wanaume Masikini na Wasiojiamini Wanaongoza Kutongoza kwa Meseji Nyingi Halafu Ndefu

Nimekaa sehemu leo napata lunch, mara dada mmoja mrembo aliyekuwa karibu yangu "kareact", "mameseji kibao halafu marefu, hayaeleweki.
Unanijazia tu inbox, utakuwa masikini tu wewe halafu hujiamini".Dah, nilishtuka sana. Baada ya dakika kama 2 hivi..
nikamuuliza dada yangu mbona hasira sana, kwa nini.
Akanijibu "kuna jianaume linanijazia tu inbox, linatuma messages nyingi, ndefu halafu halieleweki, wiki ya pili sasa, mie ananiudhi!"

Nikamwuuliza "mbona unasema atakuwa masikini,akajibu "mtu mwenye hela zake na anayejiamini atahangaika kutuma mameseji kibao, marefu ambayo hata hayaeleweki."

Kwani huyo hawezi kuwa tajiri, lakini kumbe anafanya ufafanuzi kwa kuandika kwa kina,"ingawa simjui, atakuwa hana lolote, anafikiri akijieleza au kuandika sana nitamhurumia au nitamwelewa, akafie mbele huko, tena namblock, hii ni kawaida ya wanaume kapuku." WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips