Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Kajala: Sasa Nahitaji Mdogo wa Paula Umri Unazidi Kusonga Mbele

Kajala: Sasa Nahitaji Mdogo wa Paula Umri Unazidi Kusonga Mbele

Mrembo na muigizaji wa  filamu za Kibongo, Kajala Masanja amefunguka kuwa ni muda muafaka wa kufanya mishemishe za kumtafuta mtoto mwingine kwani yule wa kwanza, Paula ameshakua.

Akizungumzia mipango yake kwa sasa hasa kwenye suala la kuongeza mtoto, Kajala alisema umri
unazidi kuyoyoma na Paula anazidi kuwa mkubwa hivyo ni vyema akamtafutia mdogo wake fasta kabla ya kuamua kutulia.

“Kwa kweli nahitaji kumpata mdogo wake Paula haraka, umri unazidi kusonga mbele, siyo nakuja kuzaa tena Paula kishakuwa mdada mkubwa, itakuwa aibu,” alisema Kajala.

GPL WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips