Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Emmanuel Mbasha: Flora ndiye anayejua ukweli baba wa mtoto aliyejifungua

Emmanuel Mbasha: Flora ndiye anayejua ukweli baba wa mtoto aliyejifungua

Akihojiwa na gazeti la Mtanzania baada ya kuahirishwa kwa kesi yake ya ubakaji inayomkabili, amedai kuwa Flora ndiye anayejua ukweli wa nani baba wa mtoto aliyejifungua hivi karibuni.

Ameongea hivyo baada ya kuulizwa na waandishi wa habari kutokana na kusambazwa kwa picha ya mtoto ikimhusisha kufanana na mchungaji wa kanisa la ufufuo na uzima ndugu Gwajima.

My take: Ukiona mume anasema mke ndiye anayejua ukweli wa nani baba wa mtoto ujue pana walakini juu ya mapenzi yao, anajua alikuwa anachapiwa. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips