Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » VIDEO inayoonyesha Rais Mugabe akianguka kwenye ngazi

VIDEO inayoonyesha Rais Mugabe akianguka kwenye ngazi

Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe tumesikia mara nyingi akiwa na migogoro na mataifa ya Ulaya, Marekani ishu kubwa ni kitendo cha Mugabe kuonekana akiendelea kung’ang’ania madaraka kwa kipindi kirefu.

Video, picha na story kubwa mitandaoni kwa sasa ni ishu ya Rais huyo kuanguka wakati akishuka ngazi baada ya kuhutubia wanachama wake Harare, baada ya kumaliza kuhutubia alisalimiana na viongozi kadhaa wa Chama hicho halafu akawa anashuka ngazi, akaishiwa nguvu na kuanguka chini, walinzi wakamuinua na kumpeleka kwenye gari yake

Kwenye video Mugabe anaonekana akishuka ngazi lakini hali yake ni kama mgonjwa au mtu aliechoka. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips