Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Lowassa Kawa Lulu Bungeni , Wabunge Wapanga Foleni Kumuona

Lowassa Kawa Lulu Bungeni , Wabunge Wapanga Foleni Kumuona


Katika hali isiyokuwa ya kawaida, hali yenye msisimko na ya kuonyesha jinsi gani mbunge wa Monduli Ndugu Lowassa anakubalika, imefikia kipindi hapati nafasi ya kupumua kutokana..
na uwingi wa wabunge kupishana kumuona....

Sasa nafkiri imefikia wakati spearker wa bunge aangalie hili jambo, na ikiwezekana apige stop wabunge kwenda kumsalimia Lowassa, imesikika moja wa mbunge akisema hayo.....

Inakadiriwa kwa siku Lowassa anaonwa na zaidi ya wabunge 80 kitu ambacho kinafanya sehemu alipokaa panakuwa busy sana.... Huu ni muendelezo wa kuonyesha ni jinsi gani Lowassa ana mvuto na anavyokubalika katika jamii....

NB: Kweli nyota njema uonekana asubuhi......WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips