Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Nape Nauye Amkubali Edward Lowassa kwa Utekelezaji

Nape Nauye Amkubali Edward Lowassa kwa Utekelezaji

Katika kipindi cha asubuhi hii cha clouds360 Nape Mosses Nnauye amekiri haya "CCM ni chama chenye document nyingi zaidi lakini hakina utekelezaji".


Tafsiri ya Maneno haya ni sawa na ya Edward Lowassa aliyoyasema katika bunge kwa serikali ina uzito wa utekelezaji wa walio kubaliana yaani maamuzi.

Hivyo Nape Nnauye ni mhubiri wa siasa za Maamuzi Magumu ambazo kwa sasa zinaongozwa na Edward Lowassa lakini tatizo tuu ni kiburi chake cha kukimbia kivuli chake. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips