Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Chuchu Hans: Sifikirii Kuja kuachana na Ray kila Kitu Kinaenda kwa Riziki..Mtasubiri Sana

Chuchu Hans: Sifikirii Kuja kuachana na Ray kila Kitu Kinaenda kwa Riziki..Mtasubiri Sana

Mpenzi wa muigizaji wa filamu, Vincent Kigosi aka Ray, Chuchu Hans amekanusha uvumi kuwa amepigwa chini na Ray na kudai kuwa hategemei kama watakuja kuachana.
Chuchu amekiambia kipindi cha Take One cha Clouds TV kuwa wameamua ...
kubadilisha aina ya maisha yao kwa kutopiga picha hovyo na kuweka mitandaoni.

“Sifikirii hicho kitu kuachana na Ray kiukweli sifikirii na kila kitu kinaenda kwa riziki na kama riziki yangu itakuwa imeisha basi nitaikubali hali. Lakini sifikirii hicho kitu kabisa,” alisema Chuchu ambaye naye pia ni muigizaji wa filamu.

Mtasubiri Sana.. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips