Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Mrembo wa Ukweli Agness Masogange Amdatisha Mwanaume wa South Africa Mpaka Ametangaza Ndoa

Mrembo wa Ukweli Agness Masogange Amdatisha Mwanaume wa South Africa Mpaka Ametangaza Ndoa

Yule mwanadada, ambaye ni video queen na role model wa teenage girls katika ka nchi ka Tanzania tena anayekumbukwa na wengi kwa kusafirisha panadol zenye thamani ya bilioni 6 kwenda South Africa anatarajiwa kuolewa karibuni

Modo Agnes Masogange ameonekana kumdatisha mwanaume aliyefahamika kwa jina la Louis Donald wa nchini Afrika Kusini baada ya jamaa huyo kuposti mtandaoni picha tofauti akiwa amepozi kimahaba na Agnes na kueleza kuwa, huyo ndiye mke wake wa kufa na kuzikana.

Jamaa huyo amekuwa akieneza habari kuwa, Masogange ni ‘mtu’ wake kitendo kilicholifanya Ijumaa ambalo awali lilikuwa na taarifa kuwa, Agnes amechumbiwa na msanii aitwaye Evance Komu limtafute mrembo huyo ili afafanue na alipopatikana alisema:
“Hiyo ishu ipotezee bwana, maswali gani hayo unaniuliza?” alihoji Masogange aliyeonekana kutotaka kuweka wazi ishu zake za kimapenzi. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips