Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Lulu Michael Azua Jambo Kwa T-Shirt Aliyovaa Siku ya Valentine

Lulu Michael Azua Jambo Kwa T-Shirt Aliyovaa Siku ya Valentine

Mara kadhaa tume kuwa tukiwaona  baadhi ya ndungu zetu ambao Lugha ya malkia inawapiga chenga wamekuwa wakivaa nguo zenye maandishi ambayo huwa hayafai lakini hawa mara nyingi huwa hawajui maana ya kile ambacho kimeandikwa.



Sote tunatambua kuwa watu wenye uelewa kama wa mrembo huyu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ hawezi kuvaa ngue yenye maandishi akiwa ajui maana yake au hakubaliani na kile kilichoandikwa. Sasa je mtoto lulu ni kweli  anamaanisha hiki kilichoandikwa hadi kupiga nacho picha na kutupia mtandaoni. Au labda ni dili amepata la kutangaza kinywaji.

Kama sio,ndio tuseme kweli mrembo huyu anapenda kilaji kiasi kwamba haitaji kupendwa na mtu yoyote?

Hebu tuambie wewe umemuelewaje hapa bidada huyu.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips