Akipiga stori mbili tatu na mwanahabari wa GPL, Dude alisema linapokuja suala la kulaumiwa kuchelewa kuoa, anastahili kwani hakuna kitu kinachomsababisha asioe zaidi ya akili yake kuwa mbovu.
“Mimi akili yangu tu bwana ndiyo mbovu, hakuna kitu cha ziada ninachoweza kujitetea, kama kuona ningeoa siku nyingi sana, nashindwa basi tu,” alisema Dude.
GPL WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment