Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Gadner G Habash 'Ndugu Zangu Nawauliza Nimjibu au Nisimjibu Huyo Anayedhani Yeye Malaika Anayekosewa Yeye tu?'

Gadner G Habash 'Ndugu Zangu Nawauliza Nimjibu au Nisimjibu Huyo Anayedhani Yeye Malaika Anayekosewa Yeye tu?'

Gallos Official Blog
Baada ya Mwanamuziki Lady Jay Dee Ambae alikuwa mke wa Gadner G Habash Kufunguka kisa cha kumuacha Habash  Hatimaye Gadner na Yeye amekuja na Hili Hapa Chini:
Hivi ndivyo alivyoandika kwenye ukurasa wake wa Instagram:


Valentine hii naishi kwa hisani ya Mungu Muumba, napendeza kwa hisani ya @robbyonefashion, nakula kwa hisani ya kazi @efm_93.7 Efm, natamba kwa hisani ya @majizzo, nna amani kwa hisani ya washkaji wangu @abdallah_gunda na @edbyamps na lavi davi kwa hisani ya #VJM.
Ndugu zangu na jamaa zangu nawauliza nimjibu au nisimjibu huyo anayedhani yeye malaika anayekosewa yeye tu??WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips