Tanzia: Baba Mzazi wa Mwanamuziki Dully Sykes Mzee Sykes Afariki Dunia
Baba mzazi wa mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini, Dully Sykes, Mzee Sykes
amefariki dunia leo akiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili, jijini Dar es
Salaam. Gallos Officia blog inatoa pole kwa Dully Sykes na familia
nzima ya Mzee Sykes kwa msiba huu mzito. Bwana alitoa na Bwana ametwaa,
jina lake lihimidiwe!
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment