Mtangazaji wa kipindi cha Mboni Show, Mboni Masimba akilia kwa uchungu
akiwa nje ya Hospitali ya Mkoa wa Morogoro wakati wakisubiri kusafirisha
maiti kuelekea Dar. Marehemu Tyson ndiye alikuwa Mtayarishaji wa
kipindi chake na walikuwa wote katika safari hiyo, ingawa walikuwa
magari tofauti.
Katika hatua nyingine, msanii wa Hip Hop nchini, Ambwene Yessaya 'AY'
(anayehesabu pesa) aliamua kujitole kununua jeneza la kusafirishia mwili
w marehemu, jeneza hilo liligharimu kiasi cha shilingi laki sita ambazo
AY alizitoa cash!
Wakisaidiana kubeba jeneza hilo kuelekea hospitalini baada ya kulinunua
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment