Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Ibrahimovic Kuondoka PSG Mwishoni Mwa Msimu Huu

Ibrahimovic Kuondoka PSG Mwishoni Mwa Msimu Huu

Mshambuliaji wa klabu ya Paris St-Germain Zlatan Ibrahimovic anaondoka katika klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu.

Mkataba wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 34 unakamilika msimu huu na amehusishwa na uhamisho wa Manchester United,kilabu ya Los Angels Galaxy na AC Milan.

”Ninafurahia”,alisema.”Niliwasili kama mfalme na sasa naondoka kama kigogo lakini ntarudi”.

PSG imesema kuwa Ibrahimovic anaondoka kama mshambuliaji bora na mchezaji bora zaidi katika historia ya kilabu hiyo.

Ibrahimovic ameifungia mabao mengi zaidi klabu hiyo licha ya kujiunga nayo mwaka 2012 aiwa amefunga mabao 152 katika mechi 178.

PSG imeshinda taji la Ligue 1 kila msimu tangu Ibrahimovic ajiunge na kilabu hiyo WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips