Katika mahojiano aliyoyafanya na BBC , Rais mstaafu Kikwete amekiri kuwa
hivi karibuni atakabidhi Uenyekiti wa Chama cha Mapinduzi kwa Rais
Maguli na yeye kubaki kama mzee mstaafu lakini maarufu.
Hata hivyo Kiwete amekiri pia kuwa ataendelea kushughulika na maswala ya kimataifa kama sehemu ya kazi yake baada ya kustaafu.
Kile kitendawili cha Chama sasa kimeteguka.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment