TAREHE NA MWEZI KAMA HUU NDIPO ULITUACHA KIPENZI CHETU, MFALME WA BONGO MOVIE TANZANIA.
INATIA SANA SIMANZI KUENDELEZA TASNIA BILA WEWE, MTU WA KWANZA KUUMIA NI MIMI NA MASHABIKI WAKO...
MOLA AKUPUMZISHE MAHALA PEMA PEPONI, AMEN!
Tafadhali Tumuombee rehma za Mwenyezi Mungu ziwe kwake. ...
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment