Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Kifo cha Papa Wemba Chazua Utata...Wadai Aliwekewa Sumu Kwenye Mic...Tazama Hii Video Ikionyesha Tukio Nzima la Kubadilishiwa Mic

Kifo cha Papa Wemba Chazua Utata...Wadai Aliwekewa Sumu Kwenye Mic...Tazama Hii Video Ikionyesha Tukio Nzima la Kubadilishiwa Mic

Taarifa  ambazo zinazidi kuenea kwenye vyombo vya habari Congo na mitandao ya kijamii hata hapa Tanzania ni msiba wa Papa Wemba lakini sasa mjadala umehamia kwenye namna kifo chake kilivyotokea
Kipande cha video kinachomuonesha jamaa akichukua mic halafu akairudisha kwenye stage na baada ya Pamba Wemba Kuanguka inadaiwa jamaa yuleyule badala ya kumsaidia alikimbilia mic ili isijulikane. Taarifa zinazoenea ni kwamba mic ile ilikuwa imewekewa sumu.
Hapa Mwanamuziki wa Congo anayeishi Tanzania, Papii Catalogue ameitafsiri video hiyo kwa lugha ya kiswahili, unaweza kuitazama……





ULIIKOSA MAMBO SITA YA KUFAHAMU KUHUSU COLLABO YA DIAMOND NA PAPA WEMBA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips