Klabu ya Azam FC
asubuhi ya leo March 9 imesafiri kuelekea Afrika Kusini kwa ajili ya
kucheza mchezo wake wa kwanza wa Kombe la shirikisho barani Afrika dhidi
ya klabu ya Bidvest Wits ya Afrika Kusini, utakaochezwa weekend hii na wiki mbili baadae kurudiana uwanja wa Taifa Dar Es Salaam.
Home »
MICHEZO
» Pichaz 20 za Azam FC walivyoondoka Airport Dar kuifuata Bidvest Wits ya Afrika Kusini ndani ya suti
Pichaz 20 za Azam FC walivyoondoka Airport Dar kuifuata Bidvest Wits ya Afrika Kusini ndani ya suti
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment