Member wa kundi la P-Square, Peter Okoye ameanza kufanya kazi kama solo artist na ametoa wimbo wake wa kwanza Look Into My Eyes.
Wimbo umetoka chini ya jina la Peter Okoye, na ni wimbo wa R&B na
taarifa zinazidi kusamba kuhusu kutoelewana kwa wasanii hawa wawili
Peter na Paul wa P Square.
Isikilize hapa chini Peter Okoye (P-Square) – Look Into My Eyes
0 comments:
Post a Comment