Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Bongo Movie Watisha Nigeria Tasnia ya Filamu.....

Bongo Movie Watisha Nigeria Tasnia ya Filamu.....

Usiku wa March 5 2016 nyota ya Tanzania iliweza kushine vilivyo kunako tasnia ya uigizaji baada ya waigizaji wa Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Single Mtambalike ‘Rich Richie’ kunyakua Tuzo za (MVCA) zilizofanyika jijini Lagos nchini Nigeria. Tuzo hizo pia ziliweza kuhudhuriwa na mastaa wengi tu wa kibongo.

Usiku wa March 5 2016 nyota ya Tanzania iliweza kushine vilivyo kunako tasnia ya uigizaji baada ya waigizaji wa Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Single Mtambalike ‘Rich Richie’ kunyakua Tuzo za (MVCA) zilizofanyika jijini Lagos nchini Nigeria. Tuzo hizo pia ziliweza kuhudhuriwa na mastaa wengi tu wa kibongo WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips