Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Mwamvita Makamba Ajibu Tuhuma za Mange Kimambi Adai January Makamba Hahusiki na Kashfa Zinazosambazwa Mitandaoni..Msikilize Hapa

Mwamvita Makamba Ajibu Tuhuma za Mange Kimambi Adai January Makamba Hahusiki na Kashfa Zinazosambazwa Mitandaoni..Msikilize Hapa

January hausiki na kashfa zinazosambazwa mitandaoni.
Hao ni matapeli na wameamua kumtumia tapeli mwenzao huyo anayejiita wa kitaliano.
Mahusiano yangu, masuala yangu binafsi hayapaswi kuhusianishwa na kaka yangu January. Mimi nina maisha yangu na yeye ana maisha yake binafsi, mimi nina kazi zangu na yeye ana kazi zake.
Puuzeni upuuzi huo unaosambazwa kwa sababu ni wa kupika.
Kuniuliza Leading Questions halafu kunirekodi ili unilishe maneno ni upuuzi wa kupuuzwa.
Mwamvita Makamba SIKILIZA HAPA: 
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips