Akitangaza majina yaliyopitishwa na kamati kuu Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema katika halmashauri hiyo imeyapitisha majina matatu ambayo ni Job Ndugai, Abdullah Ally Mwinyi na Tulia Akson.
Nape amesema kesho saa nne asubuhi majina hayo yatapelekwa yawasilishwa kwa wabunge wa CCM kwa ajili ya kupitisha jina la mgombea mmoja ambaye atagombea nafasi hiyo na wakambi ya upinzani.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment