Chati ya muziki ya Kituo cha Television
cha Kimataifa, Trace Urban imekamilika jumamosi kwa kuzisogeza ngoma
zote kali zilizofanikiwa kuingia kwenye Top 30 jumamosi November 14
2015.
Hapa nina list ya midundo iliyogusa namba 15 za juu kwenye chati hiyo.
#15: Ty Dolla $ign Feat. Rae Sremmurd & Future >> Blasé
#14: Di’Ja Feat. Patoranking >> Falling for You
#13: Fetty Wap Feat Remy Boyz >>> 679
#12: Phyno>> Connect
#11: Sauti Sol >> Shake Yo Bam Bam
#10: Adele >>> Hello
#09: Dj Shabsy Feat. Kiss Daniel & Sugarboy >> Raba
#08: Drake >>> Hotline Bling
#07: Justin Bieber >>> What Do You Mean
#06: R. City Feat. Adam Levine >> Locked Away
#05: Harrysong Feat. K Cee, Olamide, Iyanya & Orezi >>> Reggae Blues
#04: Future Feat. Drake >> Where Ya At
#03: Tekno >>> Duro
#02: Navy Kenzo Feat. Vanessa Mdee >>> Game
#01: The Weekend >>> The Hills
Basi chati ndio imekamilika kihivyo mtu wangu… ‘Game’ Yenyewe ndio hii- Navy Kenzo Feat. Vanessa Mdee.
0 comments:
Post a Comment