Yaani Mtemvu alipiga kampeni na mabango kila kona, akawa anatumia vijana
wanondoa mabandiko ya CUF na Chadema Temeke. Siku ya kuamkia Jumapili
ya Kura alihonga vijana wakashusha bendera za Chadema na CUF mitaani.
Kwa hiyo siku ya Kura ni sura ya Mtemvu na bendera za SSM zilikuwa
zinapepea tu. Ni hivi wananchi hatuangalii sura wala Bendera. Walipiga
kura kwa kipenzi walichokitaka. Diwani wa Kata ya Changombe Chali
alikuwa SSM. Hakuwa na msaada kwa Wanakata kwa terms mbili. Ana bar yake
alihonga watu bia weeee. Wakanywa na wakapiga chini. Safi sanaaaan.
Uliingia na Mtemvu na mmeondoka pamoja.
By kamtesh/JF
Quote:
What we have, what we wish we had - ambitions fulfilled, ambitions
disappointed, investments won, investments lost, elections won,
elections lost - these things may occupy our attention, but they do not
define us.
By Mitt RomneyWEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment