Aidha, amesema richmond sio ya mtu anayeongozana nae kwenye kampeni.
Magazeti leo yalimkariri Rais Kikwete alipokuwa Kigoma akisema mhusika wa Richmond ni yule anayeongozana na Lissu kwenye Kampeni.
Katika video hiyo,Tundu Lissu anasikika akisema maneno yafuatayo;
"Ndugu zangu wa Morogoro, Richmond ni ya Kikwete.. Richmond ni ya Kikwete narudia.. Richmond sio ya huyu anayetembea na Lissu kwenye kampeni, Richmond ni ya Kikwete. Sasa nimesema nataka nimnyamazishe. Sasa nipeni masikio yenu...." WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment