Nora wa Bongo Movies |
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Nora alisema kuwa, anawashangaa baadhi ya wasanii kukubali kununulika wakati wakijua kuwa, baada ya uchaguzi watamwagwa.
“Jamani mimi nashangaa kuona wasanii tunatumika kwa kiasi hiki, thamani yetu hatuitambui kabisa, kila baada ya miaka mitano tunatumika kisha tunaachwa solemba, yaani dah!” alisema Nora. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment