Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Nina wasi wasi sana na ujio wa Mh. Edward Lowasa katika chama cha Chadema, maana toka afike yeye kumekuwa na maelewano mabovu miongoni mwa wanachama.

Nina wasi wasi sana na ujio wa Mh. Edward Lowasa katika chama cha Chadema, maana toka afike yeye kumekuwa na maelewano mabovu miongoni mwa wanachama.

Displaying IMG_20150801_135310.jpg
Wewe mwenyewe utakuwa shahidi, kuingia yeye  kumekuwa na minong'ono ya chini chini ,mara hiki mara kile. Na hili kubwa la Dr Slaa kuondoka chadema kisa Lowasa. wewe unamaono gani?WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips