Rais Mstaafu wa awamu ya tatu mh. Benjamini William Mkapa amesema kuwa wapinzani wanaodai vyama vyao ni vya ukombozi ni Wapumbavu na malofa kwa kuwa watanzania walikwisha kombolewa na chama cha ASP na TANU na kwamba chama pekee cha ukombozi kilichobaki hivi sasa ni CCM pekee.
Mkapa ametoa kauli hiyo leo katika viwanja vya Jangwani wakati akimnadi mgombea urais wa CCM, Mh John Pombe Magufuli. MTAZAME HAPA:
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment