Inawezekana hukua unaamini kuwa kuna siku jamaa hawa wawili ambao walikua wakiwakilisha ‘Top Band‘, Q Chief na TID wasingeweza kukaa pamoja na kumaliza tofauti zao na hii imetokana na kuingia kwenye headlines sehemu mbalimbali kuwa hawako sawa, taarifa ikufikie kuwa TID na Q Chief kwa sasa wako fresh na wanarudi pamoja kimuziki tena.
chiiiKwenye interview ya kukumbuka album zilizopita kwenye XXL ya Clouds FM August 13 waliwaita Q Chief na TID, yamezungumzwa mengi sana kwenye interview hii ikiwemo album nyingine itakayotoka itakayowaunganisha Q Chief na TID, Nimekurekodia interview yote mtu wangu.
Bonyeza play kusikiliza interview yote.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment