CCM Kuzidisha Muda wa Kampeni, NEC Waitupia Mpira Polisi
Sarakasi zinaendelea.Tume ya uchaguzi NEC imenukuliwa ikiwatupia mpira jeshi la polisi kuwa ndilo linalohusika kuhakikisha kampeni hazizidi saa 12.Tume imeruka kimanga baada ya kupokea hoja kutoka kwa wadau kuwa juzi CCM wakati wakizindua kampeni Jangwani walizidisha muda zaidi ya nusa saa kinyume na taratibu... WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment