Siku chache zilizopita msanii Kcee kutoka Nigeria aliachia wimbo wake mpya uitwao Love Boat aliomshirikisha superstar kutoka Tanzania Diamond Platnumz.
Love Boat imetoka tayari. Nimekusogezea video hiyo hapa chini, bonyeza Play kuitazama.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment