Kwa taarifa ambayo eNewz inakupa wewe kwa mara ya kwanza kabisa, The Beautiful Ruby ambaye offcourse maisha yake yamebadilika na yanaendelea kubadilika kwa kasi, amelazimika pia kubadili mahusiano yake ya kimapenzi ambapo kwa sasa anatoka na mtu mpya na wanaelewana na kwenda sawa bila kumuweka wazi hasa ni nani huyo.
Ruby ameeleza kuwa, mahusiano yake haya mapya yamemfunza kujishusha na kuwa mfano bora kama kioo cha jamii, huku akifurahia zaidi umaarufu wake kutia nakshi zaidi mahaba katika mahusiano hayo mapya. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment