Sina tatizo la uume kusimama (erection) kwani unasimama tena ngangari kweli kweli!
Tatizo langu ni kuwahi kufika kileleni yaani ndani ya dakika 1 na nusu tayari kwisha habari yangu baada ya dakika kama 10.
Unasimama tena lakini ndani ya dakika kama hizo tayari nimemwaga huku nikimwacha mke wangu anaugulia.
Je wataalamu nitumia mizizi ama dawa gani ili kunusuru ndoa yangu?
Natanguliza shukrani kwenu wataalamu. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment