Home »
Edward Lowassa
» Kwa Mara ya Kwanza no Mabomu Maandamano yasio Rasmi ya Chadema, Barabara zafungwa, Polis Watia Doria Kila Kona Kuhakikisha Kuna Amani
Kwa Mara ya Kwanza no Mabomu Maandamano yasio Rasmi ya Chadema, Barabara zafungwa, Polis Watia Doria Kila Kona Kuhakikisha Kuna Amani
Imekua kama desturi maandamano ya wapinzani kumbana na mabomu ya polisisiemu lakini kwa mara ya kwanza jana maandamano yasio rasmi ya wapinzani hayakupigwa mabomu pale mmoja wa watia nia wa chama cha upinzani Edward lowassa alipoenda kwa maandamano ofisi za chadema kuchukua fomu na baadae kwenda mpaka ofisini kwake mikocheni bila mabomu huku baadhi ya barabara zikilazimika kufungwa.. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
Labels:
Edward Lowassa
0 comments:
Post a Comment