Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » , » Kama Lowassa ni Fisadi, Rais Kikwete tamka Hadharani

Kama Lowassa ni Fisadi, Rais Kikwete tamka Hadharani

Kama Lowassa ni fisadi na mwizi wa mali za watanzania.

Mwenyekiti wa CCM JK simama hadharani na utamke wazi wazi la sivyo tunaposema CCM ni chama cha mafisadi kwa miaka yote msipingane na Sisi.

Au La na mwenyekiti wa CCM utakuwa upo kwenye cheni moja na EL
Mnaogopa nini kumtaja kama ni fisadi?

Na kwanini mtumie vijana wa ngazi za chini kama Makonda na Nape kwenye chama chenu kumwandama na nyie mkiwa kimya?

Tunaitaji matamko ya
1.Mwenyekiti wa CCM
2.Makamu mwenyekiti CCM
3.Katibu Mkuu CCM

Sio Mavuvuzela wa chama,la sivyo nyote ni mafisadi na wezi tu mnaooneana aibu kwa kuzidiana ufisidi. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips