WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Home »
Zari The Lady Boss
» Zari za Boss Lady Anaishi Nyumba Moja na Ivan Aliyekuwa Mmewe Huko South Africa..Ushahidi Huu Hapa
Zari za Boss Lady Anaishi Nyumba Moja na Ivan Aliyekuwa Mmewe Huko South Africa..Ushahidi Huu Hapa
Zarina Hassan A.K.A Zari the boss lady mama kijacho wa Diamond Platnum
hajawahi kumpeleka mpenzi wake huyo nchini South Africa anakoishi.Sababu
Zari anaishi nyumba moja na mme wake Ivan aliyezaa nae watoto wa
tatu.Ushahidi wa kuishi pamoja ni hizi picha ambazo hata mahakamani
ushahidi wa picha unakubalika.Swimming pool tiles zake za pembeni hapo
juu ni zilele zile za hapo chini alipokaa mme huyo wa Zari.Pili rangi ya
ukuta alio chuchumaa Zari hapo juu ni ya creem sawa sawa na ukuta wa
chini aliokaa mme mwenza wa Diamond Platnum.Tatu picha ya chini Zari
akiwa parking rangi za ukuta ni sawa na nyumba aliyokaa kibopa huyo.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
Labels:
Zari The Lady Boss
0 comments:
Post a Comment