Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Rasmi James Milner ajiunga na Liverpool

Rasmi James Milner ajiunga na Liverpool

 Wiki mbili baada ya kumalizika kwa ligi kuu ya Uingereza, dirisha la usajili barani ulaya limeanza kushika hatamu.
Klabu ya Liverpool leo hii imetangaza kukamilisha usajili wa kiungo James Milner kutoka Manchester City.
Milner mwenye umri miaka 29, alipiga chini nafasi ya kuendelea kubaki Etihad Stadium ili awese kupata nafasi ya kucheza katika kikosi cha kwanza chini ya Brendan Rogers msimu ujao.
Milner amemaliza mkataba wake na City, na atajiunga rasmi na Liverpool tarehe 1 mwezi ujao.
 Mchezaji huyo alijunga na City akitokea Aston Villa miaka minne iliyopita na amefanikiwa kutwaa makombe mawili ya Ligi kuu ya Uingereza pamoja na FA Cup.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips