Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Baada ya Kuyaanika Makalio yake, Faiza Ally Aporomosha Matusi Mazito Kwa Wanaomponda

Baada ya Kuyaanika Makalio yake, Faiza Ally Aporomosha Matusi Mazito Kwa Wanaomponda

Faiza Ally amewajia juu Watu wanao mpiga majungu kuhusu kivazi chake alichovaa katika KTMA 2015 .

Faiza ambaye aliwahi kuwa mke wa mbunge  wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu', jana alipost ujumbe katika ukurasa wake wa Instagram na  kutoa ya moyoni jinsi anavyo keleka na watu wanavyo mfikilia tofauti .



==>Huu  ndo  ujumbe  Aliouandika Instagram
Nyie watu wapya humu ndani wengi wap**mbavu mmenijua kupitia hiyo nguo ambayo nimeshasema kamba zilishuka ilikua sio lengo kukaa uchi.

Nawaambia wote mnao nijaji wap**mbavu tena sana ! huwezi ukajifanya unanijua sana kwa kukosea mara moja ! we na yule na wengine wajinga! tako limekaa wazi ni sehemu ya mwili tu ! sio kila kitu kwenye maisha yangu zaidi kumuingiza mwanangu na baba mtoto wangu- muwakome!!!!!!!!

Nyinyi na nguo zenu ndefu mmefanya nm kwenye jamiii- nasaidia yatima, nasomesha watoto watatu,nasafisha mahospitalini kwa kujitolea,natoa misaada kwenye odi za watoto wa kansa,nimeshiriki kupinga mauaji ya albino,juzi nimetoa vyoo kwenye shule.

Mbona hamna hata hizo blog ushuzi zilizotangaza mema ! mmmeona tako tu ndio muhimu p**mbavu zenu nyie ????? nauliza ? wewe umefanya nn ktk jamii yako punda we!

Koma shika adamu yako! kama unaona mm chizi mwenda uchi unafanya nini hapa , pita �� nipishe ...... muonekano sio muhimu p**mbavu we! utu na ubinaadamu kwanza ! tako kitu gani ??? si tako tu ! ....

WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips