Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Utambulisho mpya wa Jiji la Dar es Salaam Kwa Sasa...Majengo Mapya na Marefu Yaibuka Kila Siku

Utambulisho mpya wa Jiji la Dar es Salaam Kwa Sasa...Majengo Mapya na Marefu Yaibuka Kila Siku

Jiji la Dar es Salaam linakuwa kwa kasi kubwa,
Miaka ya zamani jiji hili lilikuwa linatambulishwa kwa kuona picha ya ghorofa la kitega uchumi (ukiachilia mbali mnara wa askari), baadae yakajengwa majengo mengine marefu na jengo la kitega uchumi likafunikwa, likaja jengo la Benjamin Mkapa Tower, (Zamani mafuta house), na sasa zama za jengo la benjamin mkapa tower pamoja na PPF tower zimeshapita, na kwa sasa utambulisho mpya ni haya majengo yaliyopo jirani, ghorofa la PSPF pamoja na ghorofa la One Bandari tower ambayo yote yapo Sokoine drive.

Hii ni tofauti na jiji la Nairobi ambalo miaka nenda miaka rudi limekuwa likitambulishwa kwa picha za jengo la kituo cha mikutano cha Kenyatta. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips