Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Gwajima, Flora Mbasha waibukia mkutano wa CHADEMA Kawe, ni ule wa kuzindua kitabu cha Mbunge

Gwajima, Flora Mbasha waibukia mkutano wa CHADEMA Kawe, ni ule wa kuzindua kitabu cha Mbunge

MCHUNGAJI wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, na mwibaji nguli wa muziki wa Injili Flora Mbasha, Jana alasiri Mei 24, waliibukia kwenye mkutano wa hadhara wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.


Wakati Gwajima alihutubia, Mbasha alitumbuiza kwenye mkutano huo uliokuwa wa kuzindua kitabu cha Mbunge wa jimbo la Kawe (CHADEMA), Flora Mbasha chenye kichwa cha habari "Utekelezaji wa ahadi za mbunge 2011-2015".
Mgeni rasmi kwenye mkutano huo alikuwa ni mwenyekiti wa taifa wa chama hicho Freeman Mbowe

Picha hizi Hapa:
Mbunge wa Kawe akiongozana na Mchungaji Gwajima


WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips