Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Umati huu ulikuwa kwa ajili ya Pacquiao…Unadhani watakubaliana na matokeo?

Umati huu ulikuwa kwa ajili ya Pacquiao…Unadhani watakubaliana na matokeo?

watuuuu
Hawa mashabiki wa Manny Pacquaio hawakujua kama mwisho wa pambano ingekuwa hivi, na walikuwa na uhakika kwa asilimia zote kwamba ni lazima Pacquiao angeshinda.
watu4
Lakini mwisho wa siku matokeo yaliamua kuwa Floyd Mayweather ndiye mbabe kwa mwanzake Manny Pacquiao baada ya pambano la raundi 12 ambapo Mayweather alimshinda Pacquiao kwa pointi sita akiwa na pointi 117 huku mwenzake akiwa na 111.
Mashabiki kutoka sehemu mbalimbali huko Ufilipino waliacha kazi zao kwa ajili ya kushuhudia pambano hilo katika maeneo mbalim,bali ya wazi kkwenye Screen  kubwa katika pambano lililokuwa likipigwa Las Vegas, Marekani.
watu3
Ukiachia Ufilipino mashabiki walijitokeza isivyo kawaida kila pande duniani na kila mmoja alikuwa na uhakika na ushindi wa mtu anayemkubali kati ya mastaa hao wawili duniani.
watu
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips