‘Ulikuwa Wapi?’ hilo ni swali, lakini pia ndio jina la wimbo ambao msanii Hussein Machozi ameachia rasmi video yake mpya.
Video ya wimbo huo wa Machozi ambao ulivuja mwaka jana mwishoni ukiwa na
jina la ‘Mdogo Mdogo’ kabla hajauruhusu uendelee kupigwa, imefanywa na
kampuni ya Kwetu Studios ya jijini Dar es salaam.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment