Nilivyorud nyumbani..usiku wake niliwah kulala na kumuach mume wangu sebuleni..niliingia chumban na kujilaza..baadae mlango ukafunguliwa alikuw ni mume wangu na sikutak kugeuka ukabamizw tena nikajua anakuj kulal kumbe aliingia na kutok baada ya kuon nimelala..baadae nilisikia mtu anaongea na simu kwa nje..nilitega sikio kwa umakin..nilisikia saut ya mume wangu akiongea kimahab kweny simu,sikujua anaongea na nan ila nilisikia akisema mama yake yaan mama mkwe wangu hana shida ana mambo ya kizungu hawez kuleta shida..na kuwa harus itafanyik kwa sir nchini(africa) na itakuw na watu wachache tu..nilishtuk san pale aliposema kuw tanzania hairuhus ndoa ya jinsia moja..sikutak kuamin mume wangu anatak kumuoa mwanaume mwenzie..nililia san chumban.mbaya zaid siku iz amekuwa mlevi na anawez kaa nje siku tatu had nne ukimuuliza ngumi yaan ndoa yangu naiona chungu..kuna kipindi had gar yangu aliichukia na kumpa huyo kijana atumie ila ilirud baad ya miez miwil.nilishamkany huyo kijan na kumpig mar kadhaa ila hasikii mume wangu nae hatak kumuacha..nimesharud kwet kijijin mar mbil ila anakuj na kuniomb msamah yanaisha ila ni mates baad ya mda anarudia tena.kampangia nyumba anamsomesh chuo huyo kijana ila nashindwa kumuach mume wangu huduma zote ananipa ila tatizo hilo tu.. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Mume wangu anataka kuoa mwanaume mwenzie
Nilibahatika kuolewa miaka saba iliyopita na kubarikiwa kupata mtoto wa
kiume mmoja.apo awali maisha ya ndoa yalikuwa mazuri sana.mume wangu
alinipenda na kunijal sana.mume wangu ni mfany kaz wa benki moja ivi
kubwa apa jijini,hivyo suala la pesa halikuwa tatizo kweny ndoa
yangu.siku moja usiku mume wangu alienda kuoga na kuiacha simu yake
kitandani,kwa kuwa yy ni mume wangu sikusita kuichukua simu yake na
kupekua msg kweny simu.nilishtushwa na msg za mapenz nilizozikuta,kwan
mume wangu hakuw na tabia ya kutembea nje ya ndoa.bas niliumia sana
moyoni ila sikumwambia,nilipang kuchunguza mwenyew ili nimjue huyo mwiz
wangu..kwel nilifanikiw kuiba na namba ya simu ya huyo mtu na kumpigia
akapokea mvulana nilijua nimekosea namb,nikaangalia namba
vizur.nikapiga tena nikamwambia natak kuongea na mwenye simu,yy akajibu
simu ni yake nimwambie shida yake nin..nikamuuliza unamjua fulan(jina la
mme wangu).akasema ndio anamjua nikamuuliza ni nani kwake.akakata
simu,nilijaribu kupiga ila hakupokea.niliumia sana moyon nakumbuka
nilikuw na mimba ya miez sita.mume wangu alivyorud sikumwambia kitu..ila
aliniona siko saw na kuniuliz nikamwambia ni uchovu tu.nikaanza
kumfuatilia nyendo zake.nakimbuka ilikuw jumamos mume wangu aliniag
anaenda saloon kukat nywel,nikakubal ila alivyotok tu nikamfuatilia
nyuma..nilishangaa kumuona akiingia kweny nyumba moja ivi maeneo ya boko
dawasa.nilijiuliza mume wangu huku anamfuat nani kwan hakukuw na ndug
wal jamaa aliyeish maeneo hayo.nilikaa pemben kama saa moj iv ndo akatok
na kijan mmoj iv mrefu mweupe umr kati ya miaka 22 au 23.nilishangaa
san kwan sikuwah kumuona mume wangu na rafik mtot kias kile..nilijiuliza
atakuw ni nani..nilipat shida sana kuelew ile hal..baadae mume wangu
akaondok yule kijan akarud ndan.
Nilivyorud nyumbani..usiku wake niliwah kulala na kumuach mume wangu sebuleni..niliingia chumban na kujilaza..baadae mlango ukafunguliwa alikuw ni mume wangu na sikutak kugeuka ukabamizw tena nikajua anakuj kulal kumbe aliingia na kutok baada ya kuon nimelala..baadae nilisikia mtu anaongea na simu kwa nje..nilitega sikio kwa umakin..nilisikia saut ya mume wangu akiongea kimahab kweny simu,sikujua anaongea na nan ila nilisikia akisema mama yake yaan mama mkwe wangu hana shida ana mambo ya kizungu hawez kuleta shida..na kuwa harus itafanyik kwa sir nchini(africa) na itakuw na watu wachache tu..nilishtuk san pale aliposema kuw tanzania hairuhus ndoa ya jinsia moja..sikutak kuamin mume wangu anatak kumuoa mwanaume mwenzie..nililia san chumban.mbaya zaid siku iz amekuwa mlevi na anawez kaa nje siku tatu had nne ukimuuliza ngumi yaan ndoa yangu naiona chungu..kuna kipindi had gar yangu aliichukia na kumpa huyo kijana atumie ila ilirud baad ya miez miwil.nilishamkany huyo kijan na kumpig mar kadhaa ila hasikii mume wangu nae hatak kumuacha..nimesharud kwet kijijin mar mbil ila anakuj na kuniomb msamah yanaisha ila ni mates baad ya mda anarudia tena.kampangia nyumba anamsomesh chuo huyo kijana ila nashindwa kumuach mume wangu huduma zote ananipa ila tatizo hilo tu.. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Nilivyorud nyumbani..usiku wake niliwah kulala na kumuach mume wangu sebuleni..niliingia chumban na kujilaza..baadae mlango ukafunguliwa alikuw ni mume wangu na sikutak kugeuka ukabamizw tena nikajua anakuj kulal kumbe aliingia na kutok baada ya kuon nimelala..baadae nilisikia mtu anaongea na simu kwa nje..nilitega sikio kwa umakin..nilisikia saut ya mume wangu akiongea kimahab kweny simu,sikujua anaongea na nan ila nilisikia akisema mama yake yaan mama mkwe wangu hana shida ana mambo ya kizungu hawez kuleta shida..na kuwa harus itafanyik kwa sir nchini(africa) na itakuw na watu wachache tu..nilishtuk san pale aliposema kuw tanzania hairuhus ndoa ya jinsia moja..sikutak kuamin mume wangu anatak kumuoa mwanaume mwenzie..nililia san chumban.mbaya zaid siku iz amekuwa mlevi na anawez kaa nje siku tatu had nne ukimuuliza ngumi yaan ndoa yangu naiona chungu..kuna kipindi had gar yangu aliichukia na kumpa huyo kijana atumie ila ilirud baad ya miez miwil.nilishamkany huyo kijan na kumpig mar kadhaa ila hasikii mume wangu nae hatak kumuacha..nimesharud kwet kijijin mar mbil ila anakuj na kuniomb msamah yanaisha ila ni mates baad ya mda anarudia tena.kampangia nyumba anamsomesh chuo huyo kijana ila nashindwa kumuach mume wangu huduma zote ananipa ila tatizo hilo tu.. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment