Basi LA Super Feo linalofanya safari zake kati ya Mbeya na Songea latumbukia mtoni Leo asubuhi. Super Feo hilo lilikuwa likitokea Mbeya kwenda Songea limetumbukia mtoni baada ya kuovertake na kukutana na lori mbele yake kisha kutumbukia mtoni karibu na eneo la Pipeline Inyara. Taarifa zaidi zitafuata kadri tutavyoweza kuzipokea.
Breaking News : Bus la Super Feo Latumbukia mtoni.
Basi LA Super Feo linalofanya safari zake kati ya Mbeya na Songea latumbukia mtoni Leo asubuhi. Super Feo hilo lilikuwa likitokea Mbeya kwenda Songea limetumbukia mtoni baada ya kuovertake na kukutana na lori mbele yake kisha kutumbukia mtoni karibu na eneo la Pipeline Inyara. Taarifa zaidi zitafuata kadri tutavyoweza kuzipokea.
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment